Wanaitwa ChokaBoys toka Ngaramtoni Arusha, wakiwa ndani ya wimbo "Utainuka" walomshirikisha Ordinary toka Jambo Squad pamoja na mkali wa dancehall, Ruff G ikiwa ni mkono toka Noizmekah Studios kwa Defxtro, Ngoma ni ladha ya Raga tone mahususi zaidi wa kuparty, pata kuliskiza/Kudownload HAPA na kwa mawasiliano/mahojiano zaidi check na ChokaBoys kupitia +255 753 842 850

Download | ChokaBoys ft Ordinary & Ruff G - Utainuka [Audio]
Reviewed by Nolniz
on
Wednesday, September 04, 2013
Rating:

No comments: