Download | Maujanja Saplayaz ft Moplus, JcB & Gnako - Kipande na Wana [Audio]
Reviewed by Nolniz
on
Monday, July 01, 2013
Rating:
Reviewed by Nolniz
on
Monday, July 01, 2013
Rating:


Nolniz kwanza nikupe big up kwa kuanzia blog hii Mungu azidi kukupa afya, Maana unatupa fursa sisi wavivu wa kwenda madukani wanakouza DVD na CD kuzipata nyimbo zote mpya hapa nyumbani kwako! Najua unapita na kusoma coment za wadau kuna kitu cjui kwanini unakiacha nyuma nyimbo za dini? Sina maana uwe unaupdates zote rahasha zile kidogo zenye kupendwa na wengi! Nakuomba unifanyie msaada wa albamu mpya na nyimbo zake huyu bwana Ambwene Mwasongwe - Misuli ya Imani (CD)
ReplyDelete1. Upendo wa Kweli
2. Misuli ya Imani
3. Kuaminiwa na Mungu
4. Tangulia Mbele
5. Hakuna kama Yesu
6. Nguvu ya Msamaha
7. Natamani
8. Yatima
9. Ndoa
10. Tulikotoka
11. Karibu…
uibandike hapa au kama hautaona usumbufu nitumie hata katika email yangu mweagachoki@gmail au michaelmbaga@yahoo.com ni Niweze kuzidownload najua lipo ndani ya uwezo wako. Samahaani kwa usumbufu utakaojitokeza!