728x90 AdSpace

MPYA

[recent][ticker2]
28 July 2013

Download | Frank Memori & MayChedda - Nimejitoa Sadaka [Audio]


Ikiwa ni muda kidogo tangu kutoa Single,Rapper Frank Memori aja tena akishirikiana na mwanadada MayC aka Maychedda katika ngoma brand new "Nimejitoa Sadaka" ilopikwa katika studio za noizmekah arusha chini ya Producer defxtro, pata kudownload wimbo HAPA na endelea kusupport muziki wa Tanzania kila siku,
kwa mawasiliano zaidi check na Frank kwa +255 753 311 745 na maychedda kwa +255 716 266 156
 
Download | Frank Memori & MayChedda - Nimejitoa Sadaka [Audio] Reviewed by Nolniz on Sunday, July 28, 2013 Rating: 5

Labels:

[Music][carousel1]

No comments: